WAKATI Kesi ya Msusa Omary Masusa (40) aliyefikishwa katika mahakama ya
hakimu mkazi Wilaya Ya Tunduru kujibu tuhuma za kumbaka na
kumlawiti Mtoto wa miaka 7
Mtoto huyo (Jina linahifadhiwa na mtandao huu) amebakwa tena na
mhusika kufikishwa katika mahakama hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa za tukio hilo mtuhumiwa wa pili amefahamika kwa jina la Said All Nasoro (31) ambaye kwa sasa anakabiliwa na Shauri la kubaka namba 39/2014 ambapo anadaiwa kuwa alifanikisha kutekeleza unyama huo baada ya kumdanganya mtoto huyo kuwa angemnunulia Chakula na pipi.
Akimsomea shtaka hilo mbele ya hakimu wa mahakama hiyo Felix Nyalanda, mwendesha mashitaka mkaguzi msaidizi wa polisi Inspekta Songelaeli Jwagu alisema kuwa mtuhumiwa huyo kwa makusudi alitekeleza unyama huo mei 25 mwaka huu majira ya mchana wakati wazazi wa mtoto huyo wakiwa shambani.
Inspekita Jwagu aliendelea kufafanua kuwa katika tukio hilo mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo kinyume cha vifungu vya sharia namba 130 kifungu kidogo cha (1) na (2) na namba 131 vya sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama kilichofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Alisema katika
Tukio hilo Kijana huyo kwa kukusudia alimchukua hadi nyumbani kwake na
kumvamia na kumbaka mtoto huyo ambaye ni mlemevu wa akili aliyemtaja kwa jina ila blog hii inalihifadhi.
Mtuhumiwa huyo alikana kufanya kosa hilo, na amepelekwa mahabusu ya gereza la Wilaya ya Tunduru baada ya kukosa mtu wa kumdhamini.
Kwa mujibu wa mwendesha
mashtaka huyo uchunguzi wa kesi hiyo bado haujakamilika kesi
italetwa tena Juni 17 mwaka huu katika mahakama hiyo kwa ajili ya
kutajwa
AKizungumzia
tukio hilo nje ya mahakama Mama mzazi wa mtoto huyo ambaye ni
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya msingi Matemanga
Bi.Halima Mtola alisema kuwa siku ya tukio yeye alikwenda msibani na
kumuacha akiwa na mdogo wake na aliporudi majira uya saa 6. Usiku
hakumkuta na ndipo akaanza kumtafuta hadi walipo mnasa akiwa ndani kwa
mtuhumiwa.
Alisema katika tukio hilo waliwakuta wote wakiwa Uchi wa mnyama Nyumbani kwa mtuhumiwa majira ya saa 7. za usiku na walipoanza kupiga kelele za kuomba msaada mtuhumiwa aliruka ukuta na kukimbia.
Alisema kitu kinachowafanya watu hao kuendeleza unyama huo kwa mtoto wake huyo kinatokana na uonevu wa kijinsia huku wakiwa wanatumia udhaifu wa mapungufu ya ugonjwa wa akili anaougua kwa muda mrefu.
Aidha akiongea kwa uchungu Mama huyo aliviomba vyombo vya sheria kuwachukulia hatua kali watu hao kutokana na kutenda unyama huo kwa mtoto huyo mwenye umri mdogo.

Na Steven Augustino wa demashonews, Tunduru