Mwili wa
mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika
Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa
mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya
Juni 7 mwaka huu.
RIBA YA HUDUMA NDOGO YA FEDHA NI ASILIMIA 3.5 KWA MWEZI
4 minutes ago