Taarifa tulizozipata hivi punde: Wasanii Stevie Nyerere, Shamsa Ford (PICHANI) na
Simple wamepata ajali maeneo ya jirani na Chalinze wakiwa njiani kwenda
Dar wakitokea mjini Dodoma katika show kubwa
iliyofanyika last weekend...! Taarifa za awali zinaarifu kuwa chanzo cha
ajali hiyo ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari hilo...Taarifa zaidi
endelea kufuatilia hapa....!
BREAKING NEWS: WASANII WA BONGO MOVIE WAPATA AJALI YA GARI WAKITOKEA DODOMA...!
By
Edmo Online
at
Monday, June 16, 2014
