Bi. Asha akiwa na simanzi kwa
kuondokewa na mjukuu wake Nasrah aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo
wakati akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Bibi
wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya
kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya
Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi.(PICHA ZOTE NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube