ANGALIA PICHA SHEIKH AHMED JABIR AKIWA AMELAZWA HOSPITALINI BAADA YA KUJERUHIWA NA MLIPUKO WA BOMU ZANZIBAR

Sheikh Ahmed Haidar Jabir akiwa amelazwa katika Hospitali ya Alrahma iliyopo Kilimani Zanzibar, baada ya kujeruhiwa na bomu na watu wasiojulikana na kusababisha kifo cha mtu mmoja. Picha na Mwinyi Sadallah 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo