Mama huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja akionekana kusinzia wakati akisubiri wateja wa kununua samaki, kama alivyonaswa na kamera yetu katika soko la Mbezi mwisho jijini Dar es salaam hii leo (Picha na Edwin Moshi)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi