WANAFUNZI HAWA WAKO HATARINI

Wanafunzi hawa wakiwa wanapiga stori pembezoni mwa barabara ya Morogoro eneo la Mbezi mwisho jijini Dar baada ya kutoka shule. Eneo hili walilokaa si salama kwani ni barabara kuu chochote kinaweza ikiwemo gari kuacha njia na kuwagonga. (Picha na Edwin Moshi)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo