Mmoja
wa mahabusu wa Gereza Kuu la Arusha aliyeamua kuvua nguo na kubaki kama
alivyozaliwa baada ya kufikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya
Arusha jana. Mahabusu huyo na wenzake wanapinga upendeleo unaotolewa
kwa washitakiwa wa dawa za kulevya wenye asili ya Kiasia.
PICHA ZA WAFUNGWA WALIOBAKI UTUPU BAADA YA KUVUA NGUO ZAO ZOTE MAHAKAMANI ARUSHA HIZI HAPA
By
Edmo Online
at
Wednesday, May 07, 2014

