MWANAMKE AMEUAWA KIKATILI BAADA YA KUDHANIWA ANATAKA KUWATEKA WANAFUNZI


 MKUU WA TTM

Ama Kweli Binadamtunaunyama ambao kijumla hautabiriki.
Mwanamke huyu anaeonekana katika Picha, Ameuawa Kikatili na Wananchi Wenye Hasira kali, baada ya Kutuhumiwa kuwa alitaka kuwateka watoto wadogo waliokuwa Wakienda Shule

MKASA WENYEWE..
Ripoti imebainisha kuwa., mama Huyo aliwasimamisha watoto wadogo hao waliokuwa na umri unaokadiriwa Kuwa Miaka 7-10, na kuwaambia atawapeleka Shule, huku akiwaambia waongozane

Baada ya Kufikia uamuzi huyo, Mpita njia mmoja aliyemuona, alihisi huenda mama huyo anataka kuwateka watoto hao, na kuanza kupiga kelele za Msaada, na wananchi kuanza kumshughulikia.
 
Mpaka Mwanamke Huyo anakufa Kikatili, hakuna aliyekuwa na Uhakika kama Mwanamke huyo ni Mtekaji..au Lah 

MWISHO WA RIPOTI:
KICHICHI-Kitengo Chimbua Chimbua, NIGERIA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo