NEWS ALERT: MAFURIKO YAATHIRI TANGA, NYUMBA ZAJAA MAJI, TAZAMA PICHA HIZI


Hii ni hali halisi iliyopo jijini Tanga ambapo mvua kubwa zinazonyesha huko zimesababisha hali kuwa mbaya, maji kujaa kwenye nyumba za watu kama picha hizi zinavyoonesha. 

Hili ni eneo la Magaoni tairi tatu ambalo ni miongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa na mvua zinazonyesha jijini Tanga. Picha hizi ni kwa mujibu wa mdau wa Eddy Blog WhatsApp

Kama na wewe una tukio kama hili ama lingine tutumie kupitia WhatsApp +255 713 836 935


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo