Taarifa
ambayo imetolewa na Uongozi wa Yanga ni juu ya kuacha kazi kocha wa
timu hiyo Hans Van Der Plujim ambaye aliungana na timu hiyo January
2014.
sababu
za kocha huyo kuacha kazi ni kile kilichoelezwa kuwa amepata dili nchi
nyingine na mkataba wake na Yanga ulikua unamalizika July mwaka huu.
