Taarifa ambazo zimetufikia kwenye chumba cha habari muda huu ni kwamba mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam amefariki dunia ghafla akiwa amelala
Mwanafunzi huyo aliyetambulika kwa jina la Sakabenga amefariki akiwa amepumzika chumbani kwake na sababu za kifo hicho hazijajulikana
Mwili huo wa marehemu tayari umechukuliwa na umepakiwa kwenye gari tayari kwenda kuhifadhiwa

Tutazidi kuwajulisha endelea kufuatilia www.edwinmoshi.com