MREMBO WA KENYA MWENYE UMBO MARIDADI CORAZON KWAMBOKA AKIRI KUMZIMIA PRODUCER HERMY B

Kama girlfriend wako akikuona unaongea na Corazon Kwamboka, hakuna shaka kuwa roho yake itamdunda kwakuwa wazo la kwanza litakalomuijia kichwani ni kuwa himaya yake ipo matatani. 

Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange. 
 Hermy
Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na kumsema vibaya. Pamoja na kuwatoa wanaume udenda kwa umbo lake, producer wa B Hits, Hermy B, amekuwa mwanaume mwenye bahati kwakuwa amezimiwa na mrembo huyo aliyeamua kuweka wazi kwenye Instagram.

"Before Monday ends.. here is my real crush MCM. Hermes aliandika mrembo huyo Jumatatu hii. Hermy Tazama picha zaidi na mrembo huyo.
2AMVCA-Trophy-corazon-kwambokakwamboka2kwamboka6


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo