PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo.
Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.
Mapaparazi wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo.
Papa Benedict XVI akisalimiana na Rais wa Italia,Giorgio Napolitano jijini Vatican.
Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto).
Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya leo.
 
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe na mkewe Grace Mugabe wakiwasili kwa ibada ya kuwatangaza watakatifu.

PAPAJohn Paul II na John XXIII wametangazwa kuwa watakatifu katika tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na mahujaji zaidi ya milioni moja huko jijini Vatican leo.

Tukio hilo limeendeshwa na Papa Francis pamoja na mtangulizi wake Papa Benedict XVI.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo