WATANZANIA WENZETU WAMEZUIA KUCHOMWA MOTO KWA MPENDWA WETU MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN‏


Watanzania wenzetu  wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu  Augustino Michael Lukindo aliyefariki dunia  jijini Madison, jimboni Wisconsin nchini Marekani  jumapili ya March 16, 2014. 

Wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu .Gharama za mazishi ni $6,000 ....
 
jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo 
Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299 
Route ni 075000019 
 
Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu msiba huu ni wetu sote Chochote utakachokua nacho kitasaidia kumzika ndungu yetu ,asante


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo