skip to main |
skip to sidebar
Picha tata ya Steven Wassira wakati Rais Magufuli akila kiapo
Pozi la waziri mstaafu Steven Wassira wakati Rais John Magufuli akiapishwa kuwa rais wa awamu ya tano ya jamhuri ya muungano wa tanzania hii leo
Swali la kizushi ni kuwa je anasikitishwa na Rais Kikwete kustaafu au Rais Mpya Dkt Magufuli kuingia kazini rasmi au kuna ishu nyingine?
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi