Wengi wamelalamika na kusema kuwa Lulu amejishusha sana na amechafua sifa ya gazeti hilo kwa kucopy na kupaste hili pozi la nusu uchi.
Baada ya taarifa hizo kumfikia Lulu alikuwa na haya ya kusema:
“Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo…!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa…!
"Hapa kilichofanana ni idea only not otherwise…!n ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti….majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo….nimejaribu kuiweka clear mana watu mpk vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe…!"