Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema
anatarajia kusafiri kwenda nchini Nigeria (March 30) kwa ajili ya
kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya collabo na mastaa wa huko.
Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana
na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege
JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos.