Rais
Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na
biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano
maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London,
Uingereza leo, amependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo
ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.
RAIS KIKWETE APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU KWA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI
By
Edmo Online
at
Friday, February 14, 2014
