HIVI NDIVYO SHILOLE, MADEE,NA QUEEN DARLEEN WALIVYOWADATISHA WANA IGUNGA VALENTINE'S DAY, ANGALIA HAPA


Shilole na Madee wakiwadatisha wakazi wa Igunga kabla ya shoo ya Valentine's Day.
Shilole (kushoto) na Queen Darleen (kulia) wakisema na wana Igunga.
Shilole, wacheza shoo wake na Queen Darleen wakizidi kuwapa raha mashabiki kabla ya shoo yao usiku wa Wapendanao.
Wasanii Zuwena Mohamed 'Shilole' au Shishi Baby, Hamadi Ally 'Madee' na Queen Darleen waliwadatisha vilivyo wakazi wa Igunga mjini siku ya Wapendanao 'Valentine's Day' kabla ya shoo yao iliyofanyika Ukumbi wa Sakao uliopo Igunga Mjini.PICHA ZOTE NA GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo