
Msanii
wa kike ambae anafanya Muziki wa Hiphopa Hapa nchini, Witness Leo
kupitia ukurasa wake wa Facebook ametangaza Rasmi kujikita katika Bongo
Movie na Kazi ambayo ataanza kuifanya katika tasnia Hiyo, Zaidi Rapper
huyo amefunguka Hapo Chini .....
“Tsup
ma pipoo ninatangaza Rasmi ya kwamba this year mbali na shughuli za
kimuziki pia nitakuwa ninaigiza na kwa kuanza nitakuwepo kwenye
Tamthilia inayo itwa Salt en sugar ni Tamthilia inayoigizwa na wabongo
ila kwa kutumia Lugha ya kiingereza mwanzo mwisho, na kuanzia next week
Nitaanza Tour ya mashuleni ambapo tutaanza na Dr Didas pamoja na St
anthony
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi