UPDATES: MWANAMKE (MTANZANIA) ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE

 PICHA KUTOKA MAKTABA

MWANAMKE wa Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.
 
Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa. Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.  
 
Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania); mwanamke huyu amekwishashusha kete 63!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo