MZUNGU ADATA NA MIUNO YA SNURA AOMBA KUFUNDISHWA KUKATIKA, ASEMA ATAONDOKA NA SNURA MPAKA GERMANY

 Raia wa kigeni kutoka germany aliejulikana kwa jina moja tu la Joan amesema tangu afike tanzania mienzi mitatu sasa amejikuta akivutiwa sana na kazi za snura hasa katika swala zima la jinsi anavyolitawala jukwaa kwa style yake ya viuno vilivyoovurugwa amesema Ataakikisha anaondoka na snura mpaka nchini kwao kwa ajili yakwenda kufundishwa viuno tu.
 Joan akiwa na snura na madansa wa snura #team majanga
 Snura kulia Joan na hk manager wa snura.


Haya sasa kama wazungu wanaelewa we mswahili unagoja nini acha kukunja fungua tulisongesheeeee.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo