Eneo la Marangu wilaya ya moshi vijijini mkoani Kilimanjaro ni sehemu ambayo imejaliwa vivutio vingi sana
Chukua dakika kadhaa kutazama video hii ya maporomoko ya maji yaliyopewa jina la Kilasiya ambayo ni makubwa na yenye kuvutia
Maporomoko haya yanaendeshwa na mtu binafsi, ukitaka kwenda unalipia shilingi 2000, jionee kidogo tuu hali ilivyo kwenye hii video hapa chini
