LIVE KUTOKA MAHAKAMANI: HUKUMU YA ZITTO VURUGU ZATAWALA, WATU WANARUSHIANA MAWE

HUKUMU YA ZITTO: Kwa sasa bado hukumu haijaanza kusikilizwa lakini kuna vurugu nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kati ya kikundi cha Zitto na kile kinachompinga ambavyo vinarushiana mawe na polisi wanajaribu kukabiliana nao!

Taarifa zaidi utazidi kuzipata hapa hapa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo