Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu
Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na Maendeleo ya
Tanzania linalofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam.
RAIS KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU RASILISIMALI
By
Edmo Online
at
Wednesday, January 22, 2014

