skip to main |
skip to sidebar
PICHA NNE ZA ZITTO KABWE AKIWASILI MAHAKAMA KUU JIJINI DAR LEO
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Z. Kabwe pamoja na
Mwanasheria wake,Albert Msando (kulia) wakiwasili katika Mahakama Kuu
jijini Dar es Salaam leo huku wakiongozana na wafuasi wanaopinga
kuvuliwa uongozi wake,tayari kwa kwenda kusikiliza kesi yake
aliyoifungua dhidi ya Chama Chake cha CHADEMA inayosikilizwa leo
Mahakama Kuu.
Wafuasi wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe
wakimshangilia kiongozi wao alipokuwa akiwasili Mahakamani hapo leo.
Sehemu ya Wafuasi wa CHADEMA wasiomkubali Zitto Kabwe wakiwa na Mabango yao nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi