LIVE KUTOKA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR MUDA HUU, POLISI WAFANIKIWA

Kwa sasa kuna hali ya utulivu baada ya polisi kufanikiwa kukabiliana na makundi mawili yaliyokuwa yakirushiana mawe nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Anayesubiriwa muda huu ni jaji afike ili hukumu iendelee!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo