BREAKING NEW'S: AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO 67 WAHUTUTI

Ajali ya kutisha yatokea maeneo ya KIA jirani na kampuni ya kusaga kokoto ya konoike au njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo hakuna aliye fia hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na makondakta wote.

Ni baada ya lori Semitrela kugonga gari la kampuni ya LM Fusso, Hivyo ndugu msomaji  Endelea kufatilia hapa ili kujua kinachoendelea,
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo