Mmoja kati ya wauguzi ktk
Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa Grolia akimsaidia majerehu God
Loid kuingia wodini baada ya kufikishwa Hospitalini hapo na
msamaria mwema kulia ambae alimuokota kijana huyo na kumkimbiza
Hospital hapo baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na
rafiki wa majeruhi huyo ambae alikimbia baada ya tukio usiku wa leo
wauguzi wakisaidiana kuupatia matibabu mguu uliogongwa ambao umevunjika
habari/picha kwa hisani ya matukiodaima.com