Wananchi Wanaoishi na
Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Wilayani Njombe Wameshauriwa Kuendelea
Kutumia Daza za Kupunguza Makali ya Ukimwi ARV's na Kuacha Tabia ya
Kwende Kwa Waganga wa Tiba za Asili Kwa Madai Kuwa Dawa Hizo Zinauwezo
wa Kutibu Ukimwi.
Rai Hiyo Imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Sara Dumba Ikiwa ni Takribani Siku Tano Tangu Kuadhimishwa Kwa Siku ya Ukimwi Duniani, na Kusema Kuwa Baadhi ya Wagonjwa wa Ukimwi Wameacha Kutumia Dawa za Kufubaza Makali ya Ugonjwa Huo Hali Inayopelekea Kukwamisha Jitihada za Serikali za Kupambana na Janga la Ukimwi Nchini.
Bi. Dumba Amesema Wagonjwa Wengi wa Ukimwi Wamekuwa Wakijihusisha na Masuala ya Kimila na Kukatisha Matumizi ya Dawa za Kufubaza Makali ya Virusi Vya Ukimwi, Ambapo Amelani Mila Hizo na Kusema Kuwa Mila na Desturi Zilizopitwa na Wakati Zinatakiwa Kupigwa Vita