RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AUTOLEA UFAFANUZI MGOGORO WA SIMBA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameutolea ufafanuzi mgogoro wa Simba unaoendelea hivi sasa baada ya mwenyekiti wa Simba Ismail Aden rage kupinga agizo la kuitisha mkutano wa wanachama ndani ya siku 14 ambazo zinaisha Desemba 6. Malinzi ametaja hatua zitakazochukuliwa pale siku hizo zitakapoisha. Tazama video hii kufahamu zaidi:


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo