
"...Namshukuru sana Mungu kwa kunilinda mpk kufika siku ya leo. Kwa akili na uwezo wangu nisongeweza ila kwa uwezo wake Mungu hata leo hii nipo salama.
Ni mengi nimepitia lakn mkono wa Mungu u juu yangu ndio
maana leo nipo kaama nilivyo.Nawashukuru sana wazazi wangu kwa
kunizaa,mke wangu kipenzi Irene Makeula kwa kunilea kwa kila hali asante
sana moyo wangu queen irene nakupenda sana.
Pia kwa nafasi ya kipekee
sana nawashukuru sana mashabiki wangu wote kwa kufatilia kazi zangu na
kuwa pampja nami begakwabega ktk shughuli zote zinazofanya nathamini
sana mchango wenu Mungu wangu awabariki sana.Asanteni wote ambao kwa
namna moja au nyingine mmechukua nafasi yenu kunitakia kheri kwa siku
yangu hii ya kuzaliwa Mkono wa bwana usiwapungukie..."
Happy birthday JB, Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio
Happy birthday JB, Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio