Msanii Machachari wa Bongo Movies Nisha
Jabu Amesema yeye Akiachana na Mwanaume hana Desturi ya Kujipendekeza
kwake hata kama yeye ndio kasababisha waachanne..
Amesema Kuna Usemi
usemao Wapenzi hawaachani lakini kwake huo usemi si lolote kwani
yeye akishaachana ndio basi tena hata mwanaume aje anatambaaa na
magoti.....
