YABAINIKA KUWA BONGO MOVIES WAMUONEA WIVU WEMA SEPETU

Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua mitandaoni...Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...Wema Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo