Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa
NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume
ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) Oktoba 3, 2013 kufuatia
kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos
Oktoba 2, 2013 .PICHA NA IKULU
RAIS KIKWETE AMTEMBELEA DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA NA MAJAMBAZI
By
Edmo Online
at
Monday, November 04, 2013
