NAFASI YA KAZI YA MTANGAZAJI WA KIKE KWA AJILI YA TV

Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.

Sifa:

  1. Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
  2. Anayejiamini
  3. Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable)
  4. Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
  5. Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
  6. Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi


Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia:
mtsimbe@micronet.co.tz


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo