skip to main |
skip to sidebar
HOT NEWS: MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA ZANZIBAR YANATHAMANI YA SH. BILIONI 7.4
Meno ya Tembo yaliyokamatwa katika Bandari ya Malindi Zanzibar
yanathamani ya shilingi Bilioni 7.4, jeshi la Polisi kisiwani humo
limeeleza.
Pia limeeleza kuwa idadi kamili ya vipande hivyo vya meno ya
Tembo ni 1,021, vikiwa na uzito wa Kilo 2,915.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi