MWILI WA JOSEPH ROBERT ALIYEHITIMU KATIKA CHUO CHA SAUT-TABORA WAPATIKANA UKIWA UMEHARIBIKA VIBAYA

Marehemu Joseph Robert (Kushoto) Akiwa na wanafunzi wenzake waliomaliza mwaka wa tatu mwaka huu.
***
Taarifa zilizotufikia ni kwamba mpendwa huyo na mhitimu wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT - Tabora (AMUCTA) wa mwaka huu, aliyekuwa akisomea kitivo cha elimu amefariki dunia katika maeneo ya machimbo karibu na Geita hapo tarehe 27/10/2013 katika kutafuta maisha, na mwili umepatikana jana tarehe 14/11/2013 huku ukiwa umeharibika sana na kuzikwa mapema kijijini kwao huko Misungwi.

Marehemu alikuwa mtu wa watu, mpenda michezo na aliyeishi vizuri na wanachuo wenzake wa AMUCTA

*MUNGU AILAZE PAHALA PEMA ROHO YA MAREHEMU*
chanzo:aloyson.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo