SPIKA MAKINDA ASEMA MISHAHARA YA WABUNGE NI MIDOGO


Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania bi Anne Makinda ameibuka na kudai kuwa wabunge wanalipwa mshahara kidogo hivyo kuna haja ya kuongezwa kiasi cha mishahara yao kulingana na majukumu na hali ya maisha ya sasa.

Kataja malipo wanayolipwa ijapokuwa hakutaja mishahara yao akianzia na posho ya vikao ya Sh. 330,000 kwa siku, pia kataja shs. 30,000,000/= ambazo hupewa kama mfuko wa jimbo; 72,000,000 kama kiinua mgongo baada ya kumaliza miaka 5 na kudai wengi wa wabunge huchoka sana wakimaliza muda wao hivyo ni vema wakaongezewa fedha kukidhi mazingira waliyopo.


Source: Nipashe


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo