MWANAMUZIKI MOHOMBI AWASILI JIJINI DAR, TAYARI KUTUMBUIZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA

 Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo  (kulia) akifanya
interview na wanahabari baada ya kutoka nje ya uwanja wa ndege kwa ajili
ya kufanya shoo kali ya Serengeti Fiesta inayotegemea kufanyika kesho
katika viwanja vya leaders club. Tamasha hilo limedhaminiwa na kampuni ya
bia ya Serengeti kupitia bia ya Serengeti Laga.
 Mohombi (kulia) akisindikizwa kutoka nje ya uwanja wa ndege wa
Mwalimu Nyerere  baada ya kushuka na ndege ya Turkish Air lines na Afisa
wa ndege hiyo Ebubekir Ekici ambaye pia alifurahia ujio wake Tanzania.
Msanii wa kimataifa anaetamba na kibao chake kikali cha “Kiss Me”
akiwa amepozi na mtangazaji wa Clouds Tv baada ya kupokelewa jana katika
uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere.


  Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya shoo kali ya Serengeti Fiesta  itakayofanyika kesho katika viwanja vya Leaders Club. Mbele yake ni Fauzia mratibu wa shughuli za Serengeti Fiesta kutoka Prime Time Promotions.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo