TAZAMA PICHA SHEIKH PONDA AKIWA HOI HOSPITALI BAADA YA KUDAIWA KUPIGWA RISASI JANA

 
Sheikh Ponda akiwa katika hospitali ambayo haitajwi jina lake anakoendelea na matibabu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa alipigwa risasi jana akiwa mjini Morogoro alikokuwa ahutubie kwenye mhadhara wa kidini.

Begani ni mahali ambako inaelezwa kuwa risasi hiyo ilimpata

 Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo