



Msanii
kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, akiwapagawisha
amlefu ya mashambiki waliohudhuria tamasha la Valuvalu katika ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es Salaam,
Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions na
kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.



Msanii
kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, akiwa na baadhi ya
mashambiki kwenye jukwaa ambao walihudhuria tamasha la Valuvalu katika ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es Salaam,
Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni ya Prime Time Promotions na
kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania


Maelfu ya mashambiki was muziki wakifurahia nyimbo wakati wa
tamasha la Valuvalu lililofanyika kwenye ukumbi wa Escape Complex jijini Dar es
Salaam, Jumamosi. Tamasha hilo liliandaliwa na kampuni
ya Prime Time Promotions na kudhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.
Msanii kutoka Uganda, Joseph Mayanja, maarufu kama Jose Chameleone, ndiye
aliyekuwa msanii rasmi wakati wa tamasha hilo.Picha na haki ngowi)