skip to main |
skip to sidebar
LULU APEWA RUHUSA YA FILAMU YAKE YA FOOLISH AGE KUINGIA MITAANI
Bodi
ya ukaguzi wa filamu Tanzania imeridhia na kuiruhusu filamu
ya Foolish Age ya Lulu Michael iingie sokoni baada ya kuizuia
hapo juzi....
Filamu
hiyo ilizuiliwa kutokana na mavazi ya nusu uchi yaliyokuwa
yamevaliwa na washiriki wake na kumtaka Lulu Michael aifanyie
marekebisho kwa kuviondoa vipande hivyo ambavyo vilikuwa kinyume
na maadili ya kitanzani....
Filamu hiyo ambayo yupo Lulu, Diana Kimaro, Jengua na Hashim
Kambi itazinduliwa tarehe 30 mwezi huu katika ukumbi wa Mlimani City
Kupitia account yake ya instagram, Lulu amepost ujumbe huu.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi