Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu (mwenye shati la kijani) akikagua ujenzi wa daraja katika kijiji cha makusi kata ya Mlondwe wilayani Makete wakati walipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katani humo
katibu Miraji Mtaturu akipata maelezo ya miradi ya maendeleo kata ya Mlondwe Kutoka kwa diwani wa kata hiyo