skip to main |
skip to sidebar
"KATIKA MAISHA YANGU ADUI NAMBA MOJA NI SHETANI WA PILI NI CHADEMA" - MWIGULU NCHEMBA
UJUMBE MUHIMU KWA CHADEMA,MAGAZETI YENU NA DR.SLAA
Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti
yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila
njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe.
1) Leo wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha
yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza
siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me. I do not
find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine
wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua,
hana kipaji and and he is outdated.
Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT
THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS
FROM NOW? KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWENI
KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA
MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.
2) Majuzi hivi, bila aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu
mkutano wenu,kisa nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu
lililipuliwa hapohapo ARUSHA mbona hamlisemi nani alilipua hilo. Zote
hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu
ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR
MY CHARACTER TO BE AFRAID. This won't stop me, subirini kesi ianze
watanzania watawajua kwasababu mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza
na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. Eti anavaa
kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika.
What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na
mabomu?
3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini
mwenyekiti wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii
ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka
mnatengeneza na picha za kuungaunga(photoshop).
4) Hata mkanda
ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpangia na
kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini?
kwasababu alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye
aseme yale ili arekodiwe? Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka
you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a
complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move
from Glory to Glory.
Katika maisha yangu adui namba moja ni
shetani na wapili ni CHADEMA.Nanitashangaa sana nikifika mbinguni cha
kwanza kumuona mungu,Lakini nitashangaa zaidi kuona hata theruthi ya
chadema ikiuona ufalme wa mungu hasa Dr.slaa,Kwa sababu ndiye mfadhili
na mratibu wa matukio yote maovu yanayofanywa na chama chake yeye akiwa
kama mtendaji mkuu wa chama.
TUTAHESHIMIANA TU.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi