Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh Edward Lowasa akisaini kitabu cha maombolezo alipofika
nyumbani kwa Marehemu Capt. John komba kuwapa pole wanafamilia na ndugu
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.