skip to main |
skip to sidebar
JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23
FIB Tanzania (special forces in Congo ambayo ni sehemu ya MONUSCO) imeichukua ngome kuu ya
waasi wa M23 ya Kibati (Nyirangongo Territory - Goma, Eastern DRC).
Mizinga ya wapiganaji wetu ilirindima na kutembeza mabomu mfululizo huku
askari wetu wa miguu wakipanda mlima ulio eneo hilo na kisha kuichukua
ngome hiyo...



Habari kwa hisani ya Jamii Forum
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi