HIZI NI PICHA ZA UKWELI ZA MCHEKESHAJI MASAI NYOTAMBOFU AKIWA KATIKA PILIKA ZA SHUTING YA KIPINDI CHA VITUKO SHOW HUKO MKOANI TANGA LEO

 Masai Nyotambofu ambaye pia ni director wa website yawww.masainyotambofu.com akiwa kwenye pozz kabla hajaa nza shooting yani hapo alikuwa ametoka kuvalia gwanda lake la kimasai kwa ajili ya kuaza mashambulizi mbele ya Camera.
 Hapo Masai Nyotambofu anatibua hakawii kucharuka!
 Masai Nyotambofu akifanya yake katika kipengele chake kama kawaida yake..

 Kushoto ni msanii mkongwe Mwita maranya akiwa na Masai Nyotambofuwakiwajibika mbele ya Camera.
''Yosso Komando'' Camera man waVITUKO SHOW



 Muonekano wa Camera wakati wa kazi
Source:MasaiNyotambofu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo