skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS: BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA MUDA HUU, ABIRIA WAHOFIWA KUFA
Basi
la Meridiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limepinduka hapa
karibu na Mbwewe. Shuhuda wetu anasema kuwa Watu wamekufa. Basi
limekatika siti zipo nje.
Dereva bado hajatolewa. taarifa ambazo si rasmi zinasema dereva wake
kafia hapo hapo na
abiria wengine pia wamefariki, Taarifa kutoka RPC Pwani zinadai kuwa
ametuma polisi kwenda eneo la tukio na hivi sasa wapo njiani, taarifa
kamili fuatilia Blog hii(Picha kwa hisani ya michapo na matukio blog)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi